Thursday, July 28, 2016

Uhalali Usio na Faida





(1kor 10:23:: Vitu vyote ni halali, lakini si vyote vinafaa. Vitu vyote ni halali lakini si vyote vinajenga. )

 Si kila, Uhalali au haki ya mambo au vitu vinavyo kuzunguka au ulivyo navyo, ni  sababu ya wewe kujengeka au kufaidika.

Kuna vitu ni halali kabisa katika maisha ya mwanadamu(sio dhambi) lakini ni sababu ya wewe kuendelea kuporomoka ki Roho na kubaki katika nafasi hiyo hiyo kila wakati na huwezi kukua, bali unadumaa kila siku .Uhalali mwingine uki ung'anga'nia ni hasara na uangamivu wako. Mfano sio dhambi kuangalia movies na kukesha ukiangalia series, lakini je , Uhalali huo una faida ngapi ukilinganisha na hasara??

Imefika wakati sasa Utambue kweli hii ya Kuwa "Si Kila Kilicho Halali kwako, kinakufaa au Kina kujenga.(2016:salamu za CEO)". 
                          ~~by salamu za CEO Michael
                            

3 comments:

  1. Kweli kabisa kaka mwenyekiti. Barikiwa mno. Tunapunguza ubora sana wa kiroho kwa kufocus mambo ambayo yanaonekana kwa macho si dhambi

    ReplyDelete
  2. Kweli kabisa kaka mwenyekiti. Barikiwa mno. Tunapunguza ubora sana wa kiroho kwa kufocus mambo ambayo yanaonekana kwa macho si dhambi

    ReplyDelete
  3. 1xbet korean bets - Legalbet
    1xbet korean bets. This page uses an index of 1xbet mongolia the best sportsbooks and apps in Korea, to assist users by providing an overview of the bookmaker and its

    ReplyDelete

JESUS TEACHES THE FEAR OF GOD

But I will forewarn you whom ye shall fear: Fear him, which after he hath killed hath power to cast into hell; yea, I say unto you, Fear...