Thursday, July 28, 2016

Uhalali Usio na Faida





(1kor 10:23:: Vitu vyote ni halali, lakini si vyote vinafaa. Vitu vyote ni halali lakini si vyote vinajenga. )

 Si kila, Uhalali au haki ya mambo au vitu vinavyo kuzunguka au ulivyo navyo, ni  sababu ya wewe kujengeka au kufaidika.

Kuna vitu ni halali kabisa katika maisha ya mwanadamu(sio dhambi) lakini ni sababu ya wewe kuendelea kuporomoka ki Roho na kubaki katika nafasi hiyo hiyo kila wakati na huwezi kukua, bali unadumaa kila siku .Uhalali mwingine uki ung'anga'nia ni hasara na uangamivu wako. Mfano sio dhambi kuangalia movies na kukesha ukiangalia series, lakini je , Uhalali huo una faida ngapi ukilinganisha na hasara??

Imefika wakati sasa Utambue kweli hii ya Kuwa "Si Kila Kilicho Halali kwako, kinakufaa au Kina kujenga.(2016:salamu za CEO)". 
                          ~~by salamu za CEO Michael
                            

JESUS TEACHES THE FEAR OF GOD

But I will forewarn you whom ye shall fear: Fear him, which after he hath killed hath power to cast into hell; yea, I say unto you, Fear...