Saturday, September 24, 2016

UJUE "_____________"

✳✳✴✴✴UJUE"......"✳✳✳✴✴



Leo Jaza Ujue Hizo na Ujiongeze.

Ukiona Kiwango Chako cha  kushika na Kulifata Neno la Mentor Wako  ni Kikubwa zaidi ya Kushika na Kulifuata Neno la  Mungu.

🔨🔨Ujue"____________"

Ukiona Kiwango Chako Cha Kukaa Kwenye Social Medias ni  Kikubwa Kuliko Uweponi Mwa Bwana.

🔨🔨Ujue"____________"

Ukiona Una msikiliza Mpenzi wako sana Kuliko Roho Mtakatifu.

🔨🔨Ujue "________________"

Ukiona Msukumo wako Wa Ndani kwa Kila Unachofanya ni ili Watu Wakuone, Wakusifie au Wa Like. Na Ujipatie Umaarufu Na Mungu Hatukuzwi katika Huo Msukumo.

🔨🔨Ujue "_________________."

Ukiona Una Pendelea Watu na Unasahau Kuwa Ni Dhambi Kama Dhambi Zingine.

🔨🔨Ujue "__________________"

Ukiona Kila Ukiambiwa Ukweli, Hata wa Kukusaidia Unakasirika na Unapambana Kujitetea.

🔨🔨Ujue"___________________"

Ukiona Huchukui Hatua Ya Kubadilika na kukataa Hali hiyo na Kweli Umepata .

🔨🔨Ujue"____________________"

Ukiona Hata Hii Post Unahisi Unasemwa Wewe Na Unahisi Kuonewa....Na Ushaanza Kujaa Upepo.

🔨🔨Ujue"_______________________"

Wako Mtiifu,  Na Hizi ni Salamu Zangu Kwako. Rudia Kusoma Vizuri.


JESUS TEACHES THE FEAR OF GOD

But I will forewarn you whom ye shall fear: Fear him, which after he hath killed hath power to cast into hell; yea, I say unto you, Fear...